michezo
MICHEZO Magazetini Jumamosi 24/3/2018:Algeria ulikua mlima mrefu kwa Stars
Video rating 0 from 5

MICHEZO Magazetini Jumamosi 24/3/2018:Algeria ulikua mlima mrefu kwa Stars

Magazeti ya michezo leo Jumamosi tarehe 24/3/2018 yametawaliwa na habari za Simba na yanga bila kusahau mjadala wa taifa stars kuchapwa na Algeria 4-1.

MICHEZO Magazetini Ijumaa 23/3/2018:Yanga yapewa mbinu
Video rating 0 from 5

MICHEZO Magazetini Ijumaa 23/3/2018:Yanga yapewa mbinu

Magazeti ya michezo leo Ijumaa tarehe 23/3/2018 yamepambwa na habari mbalimbali ikiwemo ya Yanga kujiandaa kuiua wolayta dicha ya Ethiopia.

MICHEZO Magazetini Jumatano 21/3/2018:Chuma kimerudi Yanga
Video rating 0 from 5

MICHEZO Magazetini Jumatano 21/3/2018:Chuma kimerudi Yanga

Michezo Magazetini Leo Jumatano tarehe 21/3/2018 inapambwa na habari kubwa ya droo ya CAF leo ambapo Yanga itamjua mponzani wake kombe LA shirikisho wakati majeruhi wake wote wakirejea kikosi ni.

MICHEZO: MAGOLI YA MBWANA SAMATTA AFUNGA MAWILI GENK 2-1 CLUB AIPA USHIND CLUB YAKE
Video rating 0 from 5

MICHEZO: MAGOLI YA MBWANA SAMATTA AFUNGA MAWILI GENK 2-1 CLUB AIPA USHIND CLUB YAKE

LEO MBWANA ALIFANIKIWA KUWA MAN OF MATCH BAADA YA KUTUPIA MAGOAL YA USHINDI KATIKA LIGI KUU YA BELGAM MBWANA SAMATTA AFUNGA MAWILI GENK 2-1 CLUB AIPA USHIND CLUB YAKE MBWANA SAMATTA AFUNGA...

MICHEZO Magazetini Jumamosi 17/3/2018:Simba,Yanga zaahidi kufia uwanjani
Video rating 0 from 5

MICHEZO Magazetini Jumamosi 17/3/2018:Simba,Yanga zaahidi kufia uwanjani

Magazeti ya michezo Leo Jumamosi tarehe 17/3/2018 yametawaliwa na michezo ya Simba na Yanga klabu bingwa na shirikisho barani Afrka.

Takwimu za Okwi na Ajibu kwa michezo 7 waliyocheza
Video rating 0 from 5

Takwimu za Okwi na Ajibu kwa michezo 7 waliyocheza

Okwi na Ajib wameibuka kua wachezaji wakutegemewa kwa timu zao za Simba na Yanga na hizi ni takwimu za michezo saba ya ligi waliyocheza.

MICHEZO Magazetini Alhamisi 15/3/2018:Simba yatua misri kibabe
Video rating 0 from 5

MICHEZO Magazetini Alhamisi 15/3/2018:Simba yatua misri kibabe

Magazeti ya leo Alhamisi 15/3/2018 yametawaliwa na safari ya Simba kuelekea misri na michezo ya kimataifa wiki hii kwa simba na yanga.

MICHEZO Magazetini Jumatatu 19/3/2018:Yanga yasubiri waarabu CAF.
Video rating 0 from 5

MICHEZO Magazetini Jumatatu 19/3/2018:Yanga yasubiri waarabu CAF.

Michezo Magazetini leo Jumatatu 19/3/2018 inatawaliwa na habari kubwa mbili ambapo simba inaandaliwa mapokezi makubwa wakati yanga ikisubiri waarabu shirikisho.

MICHEZO LEO19/9/2017:Wachezaji Yanga wagomea Mazoezi.
Video rating 0 from 5

MICHEZO LEO19/9/2017:Wachezaji Yanga wagomea Mazoezi.

Wachezaji wa Yanga wameonekana uwanja wa Uhuru kwaajili ya mazoezi lakini mazoezi hayakufanyika.

MICHEZO Magazetini Jumatano 14/3/2018:Simba yapata ahueni Misri
Video rating 0 from 5

MICHEZO Magazetini Jumatano 14/3/2018:Simba yapata ahueni Misri

Magazeti ya michezo Leo Jumatano tarehe 14/3/2018 yametawaliwa na habari mbalimbali ikiwemo yanga kutua salama Botswana na usiri wa simba safari ya misri.

Emanuel Okwi Afunga goli la 1 | AZAM TV MICHEZO. April 22
Video rating 0 from 5

Emanuel Okwi Afunga goli la 1 | AZAM TV MICHEZO. April 22

Mshambuliaji Hatari wa Simba Emanuel Okwi anaifungia Timu yake bao la kwanza likiwa ni bao maridadi kabisa. Tazama ilivyokuwa.

MICHEZO Magazetini Jumanne 6/3/2018:Yanga tupeni rahaaaaaa
Video rating 0 from 5

MICHEZO Magazetini Jumanne 6/3/2018:Yanga tupeni rahaaaaaa

Magazeti katika kurasa za michezo leo Jumanne 6/3/2018 yamepambwa na habari kubwa za yanga wakitamba kuwafunga township rollers katika kombe la klabu bingwa Africa unaofanyika uwanja wa taifa...

Kona Michezo Kimataifa
Video rating 0 from 5

Kona Michezo Kimataifa

Fahamu matokeo ya michezo iliyopigwa katika mataifa mbalimbali barani Ulaya ambayo tumebahatika kukukusanyia kwa leo.

AJIB na KICHUYA wapaishwa zaidi: MICHEZO magazeti ya leo 01/12/2017: Yanga Kuokolewa na WABUNGE
Video rating 0 from 5

AJIB na KICHUYA wapaishwa zaidi: MICHEZO magazeti ya leo 01/12/2017: Yanga Kuokolewa na WABUNGE

Karibu sana ndani ya DEEPEN TZ. Tutakutangazia bizaa zako kwa muda utakaoupenda.

MICHEZO Magazetini Jumapili 18/3/2018:Simba out,Yanga shirikisho
Video rating 0 from 5

MICHEZO Magazetini Jumapili 18/3/2018:Simba out,Yanga shirikisho

Magazeti ya michezo leo Jumapili tarehe 18/3/2018 yametawaliwa na habari ya Simba na Yanga kutolewa mashindanoni baada ya timu zote kutoa suruhu ugenini.

DIAMOND AJITOA KUFA AMTOLEA POVU NAIBU WAZIRI WA HABARI SANAA NA MICHEZO
Video rating 0 from 5

DIAMOND AJITOA KUFA AMTOLEA POVU NAIBU WAZIRI WA HABARI SANAA NA MICHEZO

DIAMOND AJITOA KUFA AMTOLEA POVU NAIBU WAZIRI WA HABARI SANAA NA MICHEZO.